Mtangazaji wa Clouds FM, ndugu Gardner G. Habash Aongea maneno machafu kuhusu Mtoto wa Kike [SHINEtz Exclusive Audio]
Mtangazaji uyo Gardner alitamka maneno yafuatayo,''Sina neno na yule mtoto wa kike ni nimeshamkojoza kama miaka 15''.
kauli hiyo ambayoimeonekana kumdhalilisha Lady Jay Dee kuwa ndiyo mlengwa mkuu wa maneno hayo pamoja na wanawake wote, watu wengi wametumia mitandao ya kijamii kwa kumsema uyo mtangazaji kuwa amekosea sana kutoa hiyo kauli, Gardner ameshaandikiwa barua na wanasheria wa lady jay dee ili aombe msamaha hadharani kama alivyoitamka hiyo kauli hadharani.