Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola
Rapa prezzo kutoka kenya pia ana mtoto ambaye amezaa na Daisy. na alishawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Goldie, kwa sasa mitandao ya kijamii Kenya imeshikwa na taarifa hizi kuwa huyu atakuwa mke wa Prezzo.